Font Size
1 Wakorintho 13:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 13:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Upendo
13 Kama ningekuwa na uwezo wa kusema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa kama kelele ya kengele au toazi. 2 Na kama nina uwezo wa unabii, na kuelewa siri zote na maarifa yote; na hata kama nina imani kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, mimi si kitu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica