Add parallel Print Page Options

Upendo huvumilia na ni mwema. Upendo hauna wivu, haujisifu na haujivuni. Upendo hauna kiburi, hauna ubinafsi na haukasirishwi kirahisi. Upendo hautunzi orodha ya mambo waliyoukosea. Upendo haufurahi wengine wanapokosa, lakini daima hufurahia ukweli.

Read full chapter