Font Size
1 Wakorintho 14:38-40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Wakorintho 14:38-40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
38 Ikiwa yeyote miongoni mwenu hatalikubali hili, basi hatakubaliwa.
39 Hivyo ndugu zangu, mzingatie sana kutabiri. Na msimzuie mtu yeyote kutumia karama ya kusema katika lugha zingine. 40 Lakini kila kitu kifanywe kwa usahihi na kwa utaratibu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International