Font Size
1 Wakorintho 15:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 15:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Kufufuka Kwa Kristo
15 Na sasa napenda kuwakumbusha ndugu zangu kuhusu Injili niliyowahubiria, mkaipokea na ambayo ndio msimamo wenu. 2 Mnaoko lewa kwa Injili hii ikiwa mnashikilia imara neno nililowahubiria. Vinginevyo mtakuwa mmeamini bure.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica