Font Size
1 Wakorintho 15:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 15:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 Mnaoko lewa kwa Injili hii ikiwa mnashikilia imara neno nililowahubiria. Vinginevyo mtakuwa mmeamini bure. 3 Kwa maana niliyopokea ndio niliyowapa ninyi, nayo ni muhimu sana: kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama ilivy oandikwa katika Maandiko. 4 Na kwamba alizikwa na kufufuka siku ya tatu, kama ilivyoandikwa katika Maandiko.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica