19 Kwa maana ni nini tumaini letu, furaha yetu au taji yetu ya utukufu mbele za Bwana Yesu Kristo atakapokuja? Si ninyi? 20 Hakika ninyi ndio utukufu wetu na furaha yetu.

Read full chapter