Font Size
1 Yohana 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
1 Yohana 4:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Na sisi tumeona na kushuhudia kwamba Baba amemtuma Mwanae awe mwokozi wa ulim wengu. 15 Kila mtu anayekiri kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, na yeye hukaa ndani ya Mungu. 16 Kwa hiyo tunajua na kutegemea upendo alio nao Mungu kwetu sisi. Mungu ni upendo, na mtu mwenye upendo hukaa ndani ya Mungu na Mungu hukaa ndani yake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica