Font Size
1 Yohana 4:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
1 Yohana 4:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Tunapenda kwa sababu yeye alitupenda kwanza. 20 Mtu akisema, “Nampenda Mungu,” na huku anamchukia ndugu yake, huyo ni mwongo. Kwa maana mtu asipompenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hajamwona. 21 Na Mungu mwenyewe ametupa amri hii kwamba, mtu anayempenda Mungu hana budi kumpenda pia na ndugu yake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica