Font Size
1 Yohana 5:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Yohana 5:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
16 Utakapomwona muumini mwenzio akitenda dhambi (Dhambi isiyomwongoza kwenye mauti), unapaswa kumwombea. Kisha Mungu atampa uzima. Ipo aina ya dhambi inayomwongoza mtu hadi mauti ya milele. Sina maana ya kusema unapaswa kuombea aina hiyo ya dhambi. 17 Daima kutenda yasiyo haki ni dhambi. Lakini ipo dhambi isiyomwongoza mtu katika mauti ya milele.
18 Tunajua kwamba wale waliofanyika watoto wa Mungu hawaendelei kutenda dhambi. Mwana wa Mungu anawahifadhi salama.[a] Yule Mwovu hawezi kuwagusa.
Read full chapterFootnotes
- 5:18 Mwana … salama Kwa maana ya kawaida, “Yeye aliye aliyezaliwa kutokana na Mungu hutunzwa” au “anajitunza”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International