Font Size
1 Petro 2:5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Petro 2:5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
5 Ninyi pia, kama mawe yaliyo hai mnajengwa ili kuwa hekalu la kiroho. Mmekuwa makuhani watakatifu mkimtumikia Mungu kwa kutoa sadaka za kiroho zinazokubalika kwake kwa njia ya Yesu Kristo.
Read full chapter
1 Petro 2:9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Petro 2:9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 Lakini ninyi ni watu mlioteuliwa, ni Ukuhani unaomtumikia Mfalme. Ninyi ni taifa takatifu nanyi ni watu wa Mungu. Yeye aliwaita Ili muweze kutangaza matendo yake yenye nguvu. Naye aliwaita mtoke gizani na mwingie katika nuru yake ya ajabu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International