Font Size
2 Yohana 10-12
Neno: Bibilia Takatifu
2 Yohana 10-12
Neno: Bibilia Takatifu
10 Mtu ye yote akija kwenu bila kuwaletea mafundisho haya, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu. 11 Kwa maana mtu anayemsalimu anashiriki kazi zake za uovu.
12 Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sipendi kutumia kara tasi na wino. Badala yake ninatarajia kuwatembelea na kuongea nanyi uso kwa uso, ili furaha yetu ikamilike.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica