Font Size
2 Yohana 11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Yohana 11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
11 Kama mkiwakaribisha na kuwasalimu, mnawasaidia katika kazi zao za uovu.
12 Nina mengi ya kuwaambia. Lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kuwatembelea. Kisha tunaweza kujumuika pamoja na kuzungumza uso kwa uso. Ndipo furaha yetu itakamilika. 13 Watoto wa dada[a] yako aliyechaguliwa na Mungu wamekutumia upendo wao.
Read full chapterFootnotes
- 1:13 dada Dada wa mwanamke “mwanamke” katika mstari wa 1. Huyu aweza kuwa mwanamke mwingine au kanisa lingine.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International