Add parallel Print Page Options

12 Nina mengi ya kuwaambia. Lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kuwatembelea. Kisha tunaweza kujumuika pamoja na kuzungumza uso kwa uso. Ndipo furaha yetu itakamilika. 13 Watoto wa dada[a] yako aliyechaguliwa na Mungu wamekutumia upendo wao.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:13 dada Dada wa mwanamke “mwanamke” katika mstari wa 1. Huyu aweza kuwa mwanamke mwingine au kanisa lingine.