Font Size
2 Yohana 8-10
Neno: Bibilia Takatifu
2 Yohana 8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Jihadharini msije mkapoteza yale mliyoyafanyia kazi, bali mpewe thawabu kamili.
9 Mtu ye yote anayevuka mpaka wa mafundisho ya Kristo, na kuyaacha, huyo hana Mungu. Na mtu anayedumu katika mafundisho ya Kristo, huyo anaye Baba na Mwana pia. 10 Mtu ye yote akija kwenu bila kuwaletea mafundisho haya, msimkaribishe nyumbani kwenu, wala msimsalimu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica