Font Size
2 Yohana 8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Yohana 8-10
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
8 Muwe waangalifu! Msiipoteze thawabu tuliyokwisha[a] kuitendea kazi. Mhakikishe mnaipokea thawabu kamili.
9 Kila mmoja aendelee kuyashika mafundisho aliyefundishwa juu Kristo tu. Yeyote atakayeyabadili mafundisho hayo hana Mungu. Kila anayeendelea kuyafuata mafundisho ya Kristo[b] anao wote Baba na Mwanaye. 10 Msiwakubali wale wanaowaijia lakini hawawaletei mafundisho haya. Msiwakaribishe katika nyumba zenu. Msiwape salamu zenu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International