Add parallel Print Page Options

Kila mmoja aendelee kuyashika mafundisho aliyefundishwa juu Kristo tu. Yeyote atakayeyabadili mafundisho hayo hana Mungu. Kila anayeendelea kuyafuata mafundisho ya Kristo[a] anao wote Baba na Mwanaye. 10 Msiwakubali wale wanaowaijia lakini hawawaletei mafundisho haya. Msiwakaribishe katika nyumba zenu. Msiwape salamu zenu. 11 Kama mkiwakaribisha na kuwasalimu, mnawasaidia katika kazi zao za uovu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:9 mafundisho ya Kristo Hii ilihusu mafundisho juu ya Kristo kama alikuwa mwanadamu na pia Mungu na pia mafundisho ambayo Kristo mwenyewe aliyafundisha.