Font Size
3 Yohana 1-2
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Yohana 1-2
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Salamu toka kwa mzee.[a]
Kwa rafiki mpendwa gayo, mtu ni mpendae kwa dhati.
2 Rafiki yangu mpendwa, najua kwamba unaendelea vizuri kiroho, kwa hiyo ninaomba kuwa mengine yote yaendelee vizuri pia nawe uwe na afya njema.
Read full chapterFootnotes
- 1:1 mzee Huyu huenda alikuwa ni Mtume Yohana. “Mzee” ina maana ya mtu aliye mtu mzima au kiongozi maalumu katika kanisa (kama vile katika Tit 1:5).
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International