Font Size
3 Yohana 1-3
Neno: Bibilia Takatifu
3 Yohana 1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Kutoka Kwa Mzee. Kwa mpendwa wangu Gayo, nimpendaye katika kweli. 2 Mpendwa, ninakuombea ufanikiwe katika mambo yote na kwamba uwe na afya njema ya mwili; kwa maana najua roho yako ni salama. 3 Nilifurahi sana walipokuja ndugu kadhaa wakashuhudia jinsi ulivyo mwaminifu katika kweli na jinsi unavyoendelea kuishi katika kweli.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica