Font Size
3 Yohana 11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Yohana 11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
11 Rafiki yangu mpendwa, usiige lililo baya; bali iga lililo jema. Yeyote anayetenda yaliyo mema hutoka kwa Mungu. Ila yeyote anayetenda maovu bado hajamjua Mungu.
12 Kila mtu azungumza yaliyo mema juu ya Demetrio, na kweli inakubaliana na yale wasemayo. Pia, twasema mema juu yake. Na unafahamu kuwa tusemayo ni kweli.
13 Nina mambo mengi nataka kukueleza. Lakini sipendi kutumia kalamu na wino.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International