Font Size
3 Yohana 12-14
Neno: Bibilia Takatifu
3 Yohana 12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Demetrio anashuhudiwa wema na kila mtu na hata kweli yenyewe inamshuhudia. Mimi pia ninamshuhudia wema, na wewe unajua kwamba ushuhuda wangu ni wa kweli.
Salamu Za Mwisho
13 Ninayo mengi ya kukuandikia, lakini afadhali nisitumie kalamu na wino. 14 Natarajia kukuona karibuni na tutaongea uso kwa uso.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica