Font Size
3 Yohana 3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Yohana 3-5
Neno: Bibilia Takatifu
3 Nilifurahi sana walipokuja ndugu kadhaa wakashuhudia jinsi ulivyo mwaminifu katika kweli na jinsi unavyoendelea kuishi katika kweli. 4 Hakuna kitu kinachonifurahisha zaidi kuliko kusi kia kwamba watoto wangu wanafuata kweli.
Uaminifu Wa Gayo
5 Mpendwa, wewe umekuwa mwaminifu kwa yote unayowatendea hao ndugu, ingawaje wao ni wageni kwako.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica