Font Size
3 Yohana 3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Yohana 3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 Baadhi ya waamini walikuja na kunieleza juu ya kweli[a] iliyo katika maisha yako. Waliniambia kuwa unaendelea kuifuata njia ya kweli. Hili lilinifanya nijisikie furaha sana. 4 Daima hili hunipa furaha iliyo kuu ninaposikia kuwa wanangu wanaifuata njia ya kweli.
5 Rafiki yangu mpendwa, inapendeza kuwa unaonesha uaminifu wako katika kazi yako yote miongoni mwa waaminio. Wengine ambao huwajui.
Read full chapterFootnotes
- 1:3 kweli Kweli au “habari njema” za Yesu Kristo zinazo waunganisha waamini wote pamoja. Pia katika mstari wa 8,12.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International