Add parallel Print Page Options

Neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe pamoja nawe.

Upendo na Imani ya Filemoni

Namshukuru Mungu wangu siku zote kila ninapokukumbuka katika maombi yangu, kwa sababu nasikia juu ya upendo na uaminifu ulionao katika Bwana Yesu na unaouonesha kwa watu wa Mungu.

Read full chapter