16 Kama mimi nisivyo mwenyeji wa ulimwengu huu, wao pia sio wa ulimwengu.

Read full chapter

17 Watakase kwa neno lako; kwa maana neno lako ndilo kweli.

Read full chapter