Font Size
Luka 10:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 10:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
10 Baada ya hayo, Yesu akawachagua wafuasi wengine sabini na wawili akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda. 2 Akawaambia, “Mavuno ni mengi lakini wafanya kazi ni wachache, kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno awapeleke wavunaji zaidi katika shamba lake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica