Haya, nendeni. Ninawatuma kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Msichukue mkoba wala mfuko, wala viatu; na msipoteze muda kumsalimu mtu ye yote njiani. Mkiingia nyumba yo yote kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’

Read full chapter