Font Size
Luka 10:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 10:32-34
Neno: Bibilia Takatifu
32 Vivyo hivyo Mlawi mmoja naye alipopita, alimwona, akapita upande mwingine wa barabara akamwacha hapo hapo.
33 “Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa akisafiri kupitia njia hiyo alipomkuta, alimwonea huruma, 34 akamwendea akasafisha maj eraha yake kwa divai na mafuta, akayafunga. Kisha akamweka kwenye punda wake akaenda naye mpaka nyumba ya wageni ambapo alimtunza.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica