Font Size
Luka 10:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 10:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
35 Kesho yake, yule Msamaria alipokuwa anaondoka, akampa mwenye nyumba ya wageni fedha akamwomba amtunze yule mgonjwa na akaahidi kulipa gharama yo yote ya ziada atakaporudi.
36 “Unadhani ni yupi kati ya hawa watatu alikuwa jirani yake yule mtu aliyeshambuliwa na majambazi?”
37 Yule mwalimu wa sheria akajibu, “Ni yule aliyemwonea huruma.” Yesu akasema, “Nenda ukafanye vivyo hivyo.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica