Mkienda katika mji mkapokelewa: kuleni mtakachoandal iwa; waponyeni wagonjwa na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekuja karibu yenu.’

10 “Lakini mkiingia katika mji msikaribishwe, nendeni katika mitaa yake mkaseme:

Read full chapter