Add parallel Print Page Options

Mkiingia katika mji wowote na watu wakawakaribisha, kuleni vyakula watakavyowapa. Waponyeni wagonjwa wanaoishi katika mji huo, na waambieni Ufalme wa Mungu umewafikia![a]

10 Lakini mkiingia katika mji wowote na watu wasiwakaribishe, nendeni katika mitaa ya mji huo na mseme,

Read full chapter

Footnotes

  1. 10:9 umewafikia Au “unakuja kwenu haraka” au “umewafikia”.