Font Size
Luka 10:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 10:9-11
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
9 Waponyeni wagonjwa wanaoishi katika mji huo, na waambieni Ufalme wa Mungu umewafikia![a]
10 Lakini mkiingia katika mji wowote na watu wasiwakaribishe, nendeni katika mitaa ya mji huo na mseme, 11 ‘Tunafuta mavumbi ya mji wenu yaliyogandamana katika miguu yetu! Lakini kumbukeni kwamba: Ufalme wa Mungu umewafikia!’
Read full chapterFootnotes
- 10:9 umewafikia Au “unakuja kwenu haraka” au “umewafikia”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International