Font Size
Luka 11:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Lakini mtu mwenye nguvu zaidi akimshambulia na kumshinda, atamnyang’anya silaha alizozitegemea na kugawanya mali yote. 23 “Mtu ambaye hayuko upande wangu, anapingana nami, na mtu asiyekusanya pamoja nami, anatawanya.
24 “Pepo mchafu akimtoka mtu, anazunguka jangwani akitafuta mahali pa kupumzikia. Asipopata anasema, ‘Kwa nini nisirudi kwe nye nyumba yangu niliyotoka?’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica