Font Size
Luka 11:23-25
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 11:23-25
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
23 Mtu yeyote asiye pamoja nami, yuko kinyume nami. Na mtu yeyote asiyefanya kazi pamoja nami anafanya kinyume nami.
Hatari ya Kuwa Mtupu
(Mt 12:43-45)
24 Mtu anapotokwa na roho chafu, roho hiyo husafiri sehemu zilizo kavu, ikitafuta mahali ili ipumzike. Lakini hukosa mahali pa kupumzika. Hivyo husema, ‘Nitarudi kwenye nyumba nilikotoka.’ 25 Inaporudi hukuta nyumba imesafishwa na kupangwa vizuri.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International