Font Size
Luka 11:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:38-40
Neno: Bibilia Takatifu
38 Farisayo yule alipoona kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula alishangaa. 39 Ndipo Bwana akamwambia, “Ninyi Mafarisayo mnasafisha kikombe na sahani kwa nje huku ndani mmejaa udhalimu na uovu. 40 Wajinga Ninyi! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza sehemu ya nje ndiye aliyetengeneza na ya ndani pia?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica