Font Size
Luka 11:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Utusamehe dhambi zetu kwa kuwa na sisi tunawasamehe wote wanaotukosea. Na usitutie katika majaribu.” 5 Kisha akawaambia, “Tuseme mmoja wenu ana rafiki yake. Akamwendea usiku wa manane akamwambia, ‘Rafiki, nikopeshe mikate mitatu. 6 Nimefikiwa na rafiki yangu akiwa safarini nami sina chakula cha kumpa.’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica