Font Size
Luka 11:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 11:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 Utusamehe dhambi zetu,
kama tunavyomsamehe kila mtu anayetukosea.
Na usiruhusu tukajaribiwa.’”
Mwombeni Mungu Kile Mnachohitaji
(Mt 7:7-11)
5-6 Kisha Yesu akawaambia, “Chukulia mmoja wenu angekwenda kwa rafiki yake usiku na kumwambia, ‘Rafiki yangu aliyekuja mjini amekuja kunitembelea. Lakini sina chakula cha kumpa ili ale. Tafadhali nipe mikate mitatu.’ Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International