Font Size
Luka 11:52-54
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 11:52-54
Neno: Bibilia Takatifu
52 Ole wenu ninyi wanashe ria kwa maana mmeuchukua ufunguo unaofungua nyumba ya maarifa. Ninyi wenyewe hamkuingia na wale waliokuwa wanaingia mkawazuia.”
53 Yesu alipoondoka hapo, walimu wa sheria na Mafarisayo wakawa wanampinga vikali na kumwuliza maswali mengi, 54 wakijar ibu kumtega ili aseme kitu ambacho watakitumia kumshitaki.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica