Font Size
Luka 12:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:1-3
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Msiwe Kama Mafarisayo
12 Maelfu wengi wa watu walikusanyika. Walikuwepo watu wengi sana kiasi ambacho walikuwa wakikanyagana. Kabla Yesu hajaanza kuzungumza na watu wale, aliwaambia wafuasi wake, “Iweni waangalifu dhidi ya chachu ya Mafarisayo. Ninamaanisha kuwa hao ni wanafiki. 2 Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. 3 Mnachokisema sirini kitasemwa mbele za watu. Na mliyonong'onezana katika vyumba vyenu, yatahubiriwa sehemu za wazi ambako kila mtu atasikia.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International