12 kwa maana wakati huo Roho Mtakatifu atawafundisha mnachopaswa kusema.”

Mtakatifu atawafundisha mnachopaswa kusema.”

13 Na mtu mmoja katika umati akasema, “Bwana, mwambie ndugu yangu anigawie urithi aliotuachia baba yetu.” 14 Yesu akamwam bia, Rafiki, ni nani aliyenifanya mimi niwe hakimu wenu au mga wanyaji wa urithi wenu?”

Read full chapter