Font Size
Luka 12:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Lakini Mungu akamwambia, ‘Mjinga wewe! Usiku huu huu utakufa! Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea vitakuwa vya nani?’ 21 Hivi ndivyo itakavy okuwa kwa mtu ye yote anayehangaika kujikusanyia utajiri duniani lakini si tajiri mbinguni kwa Mungu.”
22 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Kwa hiyo ninawaambia, msihangaikie maisha yenu, kwamba mtakula nini; au miili yenu kwamba mtavaa nini.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica