Font Size
Luka 12:22-24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:22-24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Utangulizeni Kwanza Ufalme wa Mungu
(Mt 6:25-34,19-21)
22 Yesu akawaambia wafuasi wake, “Hivyo ninawaambia, msisumbuke juu ya vitu mnavyohitaji kwa ajili ya kuishi, mtakula nini au mtavaa nini. 23 Maisha ni muhimu zaidi ya chakula mnachokula na mwili ni zaidi ya mavazi mnayovaa. 24 Waangalieni kunguru, hawapandi, hawavuni au kuweka katika majumba au ghala, lakini Mungu huwalisha. Ninyi ni wa thamani sana kuliko ndege.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International