Font Size
Luka 12:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:26-28
Neno: Bibilia Takatifu
26 Kama hamwezi kufanya jambo dogo kama hilo; kwa nini basi mhangaikie hayo mengine? 27 Yata zameni maua yanavyostawi: hayafanyi kazi, wala kujitengenezea nguo; lakini ninawaambia, hata Sulemani katika ufahari wake wote, hakuwahi kuvishwa vizuri kama ua mojawapo! 28 Ikiwa Mungu huyav isha hivi majani ambayo leo yapo shambani na kesho yanachomwa moto; ataachaje kuwavisha ninyi hata zaidi? Mbona mna imani ndogo!
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica