Font Size
Luka 12:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 12:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Mwogopeni Mungu, Siyo Watu
(Mt 10:28-31)
4 Kisha Yesu akawaambia watu, “Ninawaambia ninyi, rafiki zangu, msiwaogope watu. Wanaweza kuua mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya chochote cha kuwaumiza. 5 Mwogopeni Mungu maana Yeye ndiye mwenye nguvu ya kuwaua na kuwatupa Jehanamu. Ndiyo, mnapaswa kumwogopa yeye.
6 Ndege wanapouzwa, ndege watano wadogo wanagharimu senti mbili tu za shaba. Lakini Mungu hasahau hata mmoja wao.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International