Font Size
Luka 12:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 12:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Mnajua kwamba mbayuwayu watano huuzwa kwa bei ndogo sana. Lakini Mungu anamjali kila mmoja wao. 7 Mungu anafahamu hata idadi ya nywele zilizoko katika vichwa vyenu. Kwa hiyo msiogope: ninyi mna thamani zaidi kuliko mbayuwayu wengi. 8 “Ninawaambia, kila atakayenikiri mbele za watu, pia mimi Mwana wa Adamu nitamkiri mbele ya malaika wa Mungu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica