Add parallel Print Page Options

Ndege wanapouzwa, ndege watano wadogo wanagharimu senti mbili tu za shaba. Lakini Mungu hasahau hata mmoja wao. Ndiyo, Mungu anajua hata idadi ya nywele mlizonazo kwenye vichwa vyenu. Msiogope ninyi ni wa thamani kuliko ndege wengi.

Msiionee Haya Imani Yenu

(Mt 10:32-33; 12:32; 10:19-20)

Ninawaambia, mkinikiri mbele za watu, ndipo nami[a] nitakiri kuwa ninyi ni wangu mbele za Mungu na malaika.

Read full chapter

Footnotes

  1. 12:8 nami Kwa maana ya kawaida, “Mwana wa Mtu” (Yesu Kristo).