Add parallel Print Page Options

Na atakayenikataa mimi mbele za watu, nami nitamkataa mbele za Mungu na malaika.

10 Kila asemaye neno kinyume na Mwana wa Adamu atasamehewa. Lakini atakayesema kinyume na Roho Mtakatifu hatasamehewa.

11 Watakapowapeleka ninyi katika masinagogi mbele ya viongozi na wenye mamlaka, msihangaike mtasema nini.

Read full chapter