Font Size
Luka 13:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 13:10-12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu Amponya Mwanamke Siku ya Sabato
10 Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi moja siku ya Sabato. 11 Alikuwepo mwanamke mmoja ndani ya sinagogi aliyekuwa na pepo mchafu aliyemlemaza kwa muda wa miaka kumi na nane. Mgongo wake ulikuwa umepinda na hakuweza kusimama akiwa amenyooka. 12 Yesu alipomwona alimwita na kumwambia, “Mama, umefunguliwa kutoka katika ugonjwa wako!”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International