Font Size
Luka 13:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 13:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Aliposema haya, wapinzani wake wakaona aibu lakini watu wakafurahi kwa ajili ya mambo ya ajabu aliyoyafanya. Mfano Wa Punje Ya Haradali
18 Kisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu ukoje? Nitaufanan isha na nini? 19 Umefanana na punje ndogo sana ya haradali ambayo mtu aliichukua akaipanda katika shamba lake, ikamea, ikawa mti na ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica