Font Size
Luka 13:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 13:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 Uko kama hamira ambayo mwanamke aliichukua na kuichan ganya kwenye vipimo vitatu vya unga wa ngano na wote ukaumuka.”
Mlango Mwembamba
22 Yesu akapita katika miji na vijiji akifundisha wakati akisafiri kwenda Yerusalemu. 23 Mtu mmoja akamwuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica