Font Size
Luka 13:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 13:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
25 Wakati mwenye nyumba ataka poamka na kufunga mlango, mtasimama nje mkigonga mlango na kusema, ‘Bwana utufungulie!’ Atawajibu, ‘Sijui mtokako!’ 26 Nanyi mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, ulifundisha katika mitaa yetu!’ 27 Lakini yeye atawajibu, ‘Sijui mtokako. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica